Habari za Punde

BOTI NYENGINE ZINATARAJIWA KUWASILI KUTOA HUDUMA KATI YA DAR NA ZENJ


Vifaa vilivyonunuliwa kutoka Marekani - Washington State na moja ya kampuni za usafiri kwa Dola laki nne kwa zote mbili ambapo vitakapowasili vitatoa huduma za usafiri kati ya Zanzibar na Dar.
Boti hizi zilitengenezwa mwaka 1989 na kila moja ina uwezo wa kubeba abiria 250 ziliwahi kuwekwa kwenye mtandao wa E bay kwa bei ya Dola laki tatu kila moja lakini hazikupata wateja. Zilipotengenezwa mwaka 1989 ziligharimu Dola milioni tano.

Sijui zitakapowasili zitapewa majina gani.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.