Habari za Punde

DK BILAL ALIPOMTEMBELEA MKURUGENZI WA MANISPAA

Mkurugenzi wa Manispaa ya Unguja Maalim Rashid Ali Juma alipotembelewa na Makamu wa Rais Dk Mohammed Gharib Bilal Hospitali ya Aga Ghan ambapo amelazwa akiendelea na matibabu baada ya kujeruhiwa na watu wasiojulikana waliomrushia tindi kali usoni kutokana na sakata la kuhamishwa kwa nguvu wafanya biashara ndogo ndogo eneo la Darajani.

Picha na Amour Nassor  VPO

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.