Habari za Punde

MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR ALIPOWASILI UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA ZANZIBAR.

MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idd  akilakiwa na  Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Abdalla Mwinyi Khamis alipowasili Uwanja wa Ndege wa Zanzibar akitokea ziarani Nchini Iran.
MAKAMU wa Pli wa Rais wa Zanzibar akisalimiana na Waziri wa Nchi  Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mohammed Aboud , alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Zanzibar. 
MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na Waandishi wa Habari alipowasili Uwanja wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akitokea ziarani Nchini Iran.
WAANDISHI wa Habari wakimsikiliza Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar akizungumza katika mkutano na waandishi mafanikio ya ziara yake Nchini Iran.  
KUTOKA  kulia Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais  na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Mwinyihaji Makame, Mwakilishi wa Mpendae Mohammed Said na Meya wa Mji wa Zanzibar Khatib Abrahmani Khatib.   
MAKAMU wa Rais akisalimiana na Mwakilishi wa Jimbo la Mpendae Mohammed  Said Mohammed.
MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar akisalimiana na Waziri wa Biahara, Viwanda na Masoko Mohammed Mazrui baada ya kumaliza kuzungumza na waandishi wa habari alipowasili.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.