WANACHAMA wa Chama cha Dimokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakimsikiliza Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Hassan Mussa akihutubia katika Mkutano huo.
KATIBU Mkuu Baraza la Wanawake Taifa CHADEMA Yudithe Teophily Mchaki akizungumza katika Mkutano wa hadhara wa Chama hicho uliofanyika Viwanja vya Kibandamaiti.
WANAHARAKATI Ali Omar akiwahamashisha Wananchi waliohudhuria mkutano wa hadhara wa Chama hicho uliofanyika Viwanja vya Kibandamaiti.
MUASISI wa Kampeni ya Washa Taa Mchana Graison Nyakarungu akinukuu baadhi ya kifungu cha Katiba ya Jamuhuri katika Mkutano wa hadhara uliofanyika kibanda maiti hatimai kuchuma Mswada wa Katiba.aliyeshika Taa Mkurugenzi wa Habari na Uenezi Dadi Omari.
WANACHAMA wa CHADEMA wakisikiliza mkutano wa hadhara wa Chama hicho.
NAIBU Katibu Mkuu Zanzibar CHADEMA Hassan Mussa akiwahutubia wanachama katika Viwanja vya Kibandamaiti.
HII ndio Demokrasia Au Uvunjaji wa Demokrasia? Viongozi wa CHADEMA wakiochoma Mswada wa Katiba katika Mkutano wao wa hadhara uliofanyika Kibandamaiti.
VIONGOZI wa CHADEMA weakiochoma Mswada wa Katiba katika Viwanja vya Kibandamaiti wakati wa Mkutano wa Hadhara uliofanyika katika Viwanja hivyo.
No comments:
Post a Comment