Habari za Punde

DK BILAL AKAGUA BOMDE LA MPUNGA BUMBWI SUDI

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiongozana na viongozi wa CCM, wakati alipofika Wilaya ya Magharibi kwa ajili ya kukagua matengenezo ya Ofisi ya CCM ya wilaya hiyo akiwa katika ziara yake ya kukagua maendeleo ya miradi Zanzibar jana Mei 21
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya viongozi wa CCM, wakati alipofika Wilaya ya Magharibi kwa ajili ya kukagua matengenezo ya Ofisi ya CCM ya wilaya hiyo akiwa katika ziara yake ya kukagua maendeleo ya miradi Zanzibar jana Mei 21
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Affan Othman (wapili kulia), wakati alipotembelea kukagua maendeleo ya Kilimo cha Umwagiliaji wa Mpunga katika Bonde la Mpunga la Bumbwisudi lililopo eneo la Popo Jimbo la Dole Unguja mjini Zanzibar
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkuu wa mabonde ya Mpunga ya Bumbwisudi, Kadili Ali ( kulia), wakati alipotembelea kukagua maendeleo ya Kilimo cha Umwagiliaji wa Mpunga katika Bonde la Mpunga la Bumbwisudi lililopo eneo la Popo Jimbo la Dole Unguja mjini Zanzibar
Baadhi ya wanachama wa CCM na wananchi wa Mwera Misufini Mkoa wa mjini Magharibi, wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungao wa Tanzania, Dkt. Moahammed Gharib Bilal, alipofika wilayani hapo jana Mei 21 kwa ajili ya kuweka jiwe la msingi katika Jengo la Ofisi ya CCM Tawi la Mwera Misufini
Wasanii wa kughani, Dodo Rajab (kushoto) na Amina Mohamed, wakitoa burudani ya kusoma utenzi mbele ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohamed Gharib Bilal, alipofika kuweka jiwe la msingi katika jengo la ofisi ya CCM Tawi la Misufini Mkoa wa mjini Magharib
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na wananchi na wanachama wa CCM wa Mwera Misufini baada ya kuweka jiwe la msingi katika jengo la Ofisi ya CCM ya Tawi la Misufini Mkoa wa Mjini Magharibi Zanzibar

Picha zote na Muhidin Sufiani-OMR


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.