Habari za Punde

MANDHARI YA DARAJANI WAKATI WA ASUBUHI

 
Mandhari na harakati za kila siku katika eneo hili la Darajani Mjini Zanzibar, kama linavyoonekana pichani wakati wa kazi asubuhi ndivyo linavyokuwa na pirika pirika za hapa na pale na msongamano wa watu wakiwa katika shughuli zao.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.