Habari za Punde

MICHEZO YA MAADHIMISHO YA MIAKA 20 YA KIJIJI CHA WATOTO SOS ZANZIBAR YAFANA .

WAZRI wa Habari,Utamaduni, Utalii na Michezo Abdillah Jihad Hassan akimkabidhi Kombe la Ushindi wa Jumla kwa Timu itakayoshinda katika   michezo hiyo kwa Mkurugenzi wa Kijiji hicho Suleiman Mahmoud Jabir.
WAZIRI wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Abdillah Jihad Hassan  akimkabidhi Nahodha wa timu ya Everest  Malik Juma, baada ya kuifunga timu ya Kilimanjaro 3-1
    MTOTO  Nabil Haji  akikabidhiwa Kikombe cha Ubingwa wa Mpira wa miguu kwa kuifunga timu ya Skuli jirani ya Al- Falah, na Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Abdillah Jihad Hassan katika maadhimidho ya sherehe za kutimia miaka 20 ya SOS Zanzibar.  
    NABIL Haji  akiwa na kombe la timu yake ya Chekechekea ya SOS  baada ya kukabidhiwa kwa kuwafunga watani wao skuli ya Chekechea ya Al- Falah kwa bao 1-- 0.
    WAZIRI wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Abdillah Jihad Hassan akitowa nasaha zake kwa Wanafunzi  wa Kijiji cha Watoto SOS kuadhimisha miaka 20.
    MWENYEKITI wa Baraza la Michezo Zanzibar Shery Khamis  akiwapongeza waandaaji wa tamasha la michezo la kuadhimisha miaka 20 ya kijiji hicho Zanzibar iliofanyika katika Viwanja vya Kijiji hicho Mombasa.
    MKURUGENZI wa Kijiji cha SOS Zanzibar Suleiman Mahmuod Jabir akitowa maelezo ya Tamasha hili la michezo kwa watoto wa Kijiji hicho.
    WAHESHIMIWA wakifurahia mmoja wa mchezo ya watoto kijiji hapo wakiwa katika mashindano ya kula andali, katika mchezo huo mwanafunzi Haroub Saleh
     

    WANAFUNZI wa Kijiji cha  SOS wakiwa katika moja ya mchezo wa kula andazi ikiwa ni moja ya michezo iliofanyika katika Tamasha hilona mwanafunzi Haruob Saleh kuibuka mshindi wa mchezo huo.
    MDAU hivi ndivyo ilivyokuwa kinyanganyiro cha mchezo hu hadi kimeeleweka kupatikana mshindi.
    NASISI tunaweza kushindana na kushinda mchezo huu.
    KAZI ilikuwepo hapa hadi kupatikana mshindi  wa mchezo huu.
    MCHEZO wa kukimbia na ndimu ikiwa katika kijiko ulikuwa ni kuvutio tosha katika viwanja vya SOS Mombasa. 
    MSHINDI wa mchezo wa kukimbia na ndimu Zainab Mohammed akimaliza mbio hizo.
    MDAU ulishaona mchezo huu wa Wheelbero ulivutia na kushangiriwa na Wanafunzi wote uwanjani hapo, hapo ikianza. 
    WATOTO wa Skuli ya Kijiji cha SOS wakiwa katika mchezo wa kusukuma bero 
    MCHEZO wa kufuta kamba  kwa Wanafunzi wa Sekondari timu ya A level  imeshinda katika mchezo huo 






    No comments:

    Post a Comment

    ZanziNews Copyright © 2014

    Theme images by Bim. Powered by Blogger.