Rais wa Zanzibar,Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza na Viongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Mkoa wa Kaskazini Pemba,katika mkutano wa majumuisho ya Ziara aliyoifanya Mkoani humo, kuona Miradi mbali mbali na maendeleo kwa ujumla, katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete
Wananchi na Viongozi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein,akihutubia katika mkutano wa Majumuisho baada ya ziara yake katika mkoa huo,uliofanyika jana,Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete,Pemba
Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein,akifuatana na Mkuu wa Mkoa wa kaskazini Pemba,Dadi Faki Dadi,wkiingia katika ukumbi wa baraza la Wawakilishi Wete,palipofanyika mkutano wa majumuisho ya Ziara ya Rais katika Mkoa huo.
Wananchi na Viongozi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, akihutubia katika mkutano wa Majumuisho baada ya ziara yake katika mkoa huo,uliofanyika jana,Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete,Pemba
Picha zote na Ramadhan Othman, Pemba
No comments:
Post a Comment