Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza na wananchi na wakulima wa Bonde la Mpunga la Kimbuni,wilaya ya Mkoani,alipofika kuangalia maendeleo ya kilimo cha Mpunga,akiwa katika ziara zake za Mkoa wa Kusini Pemba kuangalia mambo ya Maendeleo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akiangalia uharibifu wa mazingira katika kijiji cha Muambe,uliofanywa na wananchi kwa kuchimba matofali ya Mawe,kutokana na hali ngumu ya uchumi,katika ziara zake za Mkoa wa Kusini Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza na wananchi wa kijiji cha Mkanyageni,wilaya ya Mkoani,alipofika kuangalia Ujenzi wa Soko la Samaki na Matunda,katika ziara zake za Mkoa wa Kusini Pemba.
Picha na Ramadhan Othman, Pemba
No comments:
Post a Comment