Habari za Punde

BALOZI WA MAREKANI ATEMBELEA AFISI YA MAKAMU WA KWANZA WA RAIS


Balozi waMarekani nchini Bw Alfonso Lehardt akiwa katika mazungumzo na Waziri wa Nchi Afisi ya Makamu wa kwanza wa Rais Fatma Fereji

 Waziri Fereji akifafanua jambo wakati alipotembelewa na Balozi wa Marekani
 Balozi wa Marekani akiwa katika picha ya pamoja na Wafanyakazi wa Afisi ya Makamu pamoja na Vijana wa Sober House- Tomondo
Balozi akiwa na mmoja wa vijana aliyeamua kuachana na uteja kwenye nyumba Sober House Tomondo alipowatembelea.

Picha zote na Raya Hamadi

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.