Habari za Punde

MAALIM SEIF AENDELEA NA ZIARA KISIWANI PEMBA


Waziri wa Biashara,Viwanda na Masoko Ahmed Mazuri akitoa ufafanuzi juu ya mipango ya Wizara yake katika kufanikisha uchumaji wa zao la karafuu msimu huu
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kaskazini  Pemba, Yahya Bugi akitoa maelezo kwa Makamu wa kwanza wa Rais Maalim seif Sharif Hamad juuya mikakati ya Mkoa wake katika kupambana usafrishaji wa zao la karafuu kwa njia ya magendo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.