Habari za Punde

PAPA ALIYEVULIWA NUNGWI


Wachuuzi wa samaki kwenye soko kuu la mjini Unguja pamoja na wananchi wakimwangalia samaki mkubwa aina ya Papa aliyevuliwa Nungwi mkoa wa Kaskazini Unguja baada ya kufikishwa Darajani mjini Zanzibar.

Papa huyo ambaye hata wavuvi walishindwa kukadiria uzito wake, alikatwa vipande zaidi ya 10 ambapo kila kimoja kiliuzwa zaidi ya sh.200,000. (laki mbili).
Picha na Martin Kabemba

1 comment:

  1. Kwa hiyo papa huyo alikua na thamani ya zaidi milioni mbili? huyo papa au meli?

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.