Habari za Punde

MAALIM SEIF AENDELEA NA ZIARA NCHINI INDIA


 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad akikabidhi zawadi ya mlango kwa Katibu Mkuu wa jimbo la Andhra Pradesh, Sutirtha Battacharya mara baada ya kufanya mazungumzo naye huko Hyderabad, India
 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad akitoa ufafanuzi kuhusu Zanzibar mbele ya Katibu Mkuu wa jimbo la Andhra Pradesh, Sutirtha Battacharya. Katikati ni Waziri wa Biashara, Nassor Ahmed Mazrui.

Picha na Salim Said (OMKR)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.