Habari za Punde

MAJERUHI WA MELI YA MV SPICE WAKIPATA HUDUMA KATIKA HOSPITALI YA MNAZI MMOJA

WANANCHI wakiwa nje ya Chumba cha wagonjwa mahututi  katika hospitali ya Mnazi Mmoja wakati jamaa zao wakiendelea na matibabu katika wodi hiyo maalum kwa Wagonjwa maalum. 
 WANANCHI wakiangalia majina ya majeruhi wa ajali ya Meli ya Mv Spice  yakiwa yamebandikwa katika ukuta wa hospitali ya Mnazi Mmoja ili kutambua maendeleo ya afya zao  baada ya kufikishwa kwa huduma za matibabu baada ya kuokolewa.
 MMOJA wa majeruhi Omar Kombo Ali (26) wa ajali ya meli ya Mv Spice akiwa katika Wodi Hospitali akiendelea na Matibabu.
 JUMA Ali Said ( 21) akizungumza na jamaa zake walipofika kumtembelea hospitali akiendelea na matibabu baada ya kuokolewa.
 Shamte Faki Ali (26) akiendelea na matibabu katika hospitali ya Kuu ya Mnazi Mmoja akikaguliwa na jamaa zake leo.
 MTOTO Lailat Mohammed Khamis (12) akiwa katika Wodi ya watoto akiendelea na matibabu

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.