MAMA huyu akipitia magazeti mbalimbali kusoma vichwa na habari katika magazeti ili kujuwa matukio mbalimbali yanayotokea, kujuwa habari haizingatiwi umri, kila mtu ana haki ya kupata habari.
TANZANIA YAONGEZA KASI KUTOKOMEZA KIFUA KIKUU; WITO WA USHIRIKIANO WATOLEWA
-
Na John Mapepele
Waziri wa Afya, Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa amesema Tanzania leo, Machi
24, 2026 imeungana na mataifa mengine duniani kuadhimisha Sik...
1 hour ago
0 Comments