Habari za Punde

BALOZI WA UTURUKI AKABIDHI INCUBATORS


MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mama Mwanamwema Shein, akikabidhiwa mashine ya INCUBATORS, na Balozi wa Uturuki nchini Tanzania, Sander Gurbuz,(katikati) 

Mashine hiyo hupunguza Bilirubini katika mwili wa Mtoto ambayo inaathiri ubongo ,hivyo mtoto anaweza kuwa taahira baada ya kuzaliwa. Makabidhiano yaliyofanyika jana Hospitali kuu ya Mnazimmoja,(kushoto) Mke wa Balozi Mama Durhan Gurbuz

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.