Habari za Punde

MAANDALIZI YA KRISMASI

WANANCHI wakiwa katika maandalizi ya Skikukuu ya Krismasi, mwishoni mwa wiki hii, wakichagua maua katika moja ya maduka maeneo ya Mchangani Unguja.

MFANYABIASHARA ya kutembeza bidhaa mikononi akiwa na mikanda akifanya buiashara hiyo maeneo ya Darajani kama anavyooonekana pichani akiwa na mteja wa bidhaa hiyo.

Picha zote na Ali Athuman

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.