Mshauri Elekezi wa Sera ya Ardhi Pertti Onkalo, akizugumzia jinsi ya utafiti wa kupitia sera ya Ardhi Zanzibar, wakati wa uzinduzi wa kamati hiyo uliofanyika Wizara ya Ardhi Shangani.
Wajumbe wa Kamati ya kupitia mapungufu ya Sera ya Ardhi, wakimsikiliza Mshauri Elekezi jinsi ya kupitia Sheria za Ardhi Zanzibar.
Mzungu kweli kiumbe kingine!..yaani kakaa kafikiri.. wee, akaona hawa jamaa tusipo wasaidia wataumia;
ReplyDeleteArdhi yao ndogo, wanaitumia vibaya,idadi ya watu inakua na wenyewe hawajali..duu!
Sasa sijui umakini wa wajumbe nao utakuwaje, manake tukiangalia picha ya pili kutoka juu dalili zote za kwamba 'ligha ya motoni' (english) inasumbua zinaonekana..ukitoa dada wa mwanzo kushoto na osama wengine wanaonekana hawapo na mzungu.
mwenye mtandio bluu anasinzia na kaka anefata baada ya osama inaonekana kiakili hayupo kabisa!