Habari za Punde

Uharibifu wa Miundombinu Unaofanywa na baadhi ya watu bila kujali athari zake.

Baadhi ya Watu hufanya uharibifu wa makusudi kuharibu, bla ya kujali athari yake kwa watumiaji wa barabara kwa kutowa vyuma vya kukingia ukingo wa barabara, kama inavyoonekana sehemu hii vyuma vyake vimetolewa na kuwachwa hali kama hii. huku ni kujenga au kuharibu.?

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.