Habari za Punde

Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Dk. Shajak azindua ripoti ya MCT.

 KATIBU Mkuu Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais, Dk. Omar Dadi Shajak akizinduwa Ripoti ya Utafiti wa Hali ya Utendaji wa Vyombo vya Utangazaji vya Umma Zanzibar, uzinduzi huo umefanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Ocean View Kilimani.(Picha na Mdau  Haroub Hussein).


KATIBU Mkuu ofisi ya Makamu wa kwanza wa Rais, Dk. Omar Dadi Shajak akionesha ripoti ya utafiti wa hali ya utendaji wa Vyombo vya Utangazaji vya Umma Zanzibar muda mfupi baada ya kuizindua ripoti hiyo katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Ocean View Kilimani,kulia Meneja wa Baraza la Habari Tanzania Ofisi ya Zanzibar, Suleiman Seif.(Picha na Haroub Hussein).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.