Habari za Punde

Kikao cha Baraza kikijadili Mswada wa Bodi ya Mitihani Zanzibar.


 Mhe Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Othman Masoud, akichangia mswada wa Bodi ya Mitihani, katika kikao cha jioni.  
 Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Pandu Ameir Kificho akiwa katika paredi inayoongozwa na askari wa Baraza wakitoka katika Ukumbi wa Mkutano baada ya kuhairisha kikao cha Baraza cha Jioni, cha kuchangia Bodi ya Mitihanio Zanzibar.
Mwakilishi wa UziniMhe. Mohammed Raza Hassanali, akisisitiza jambo na Mhe. Mohammed Aboud, Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, baada ya kumalizika kwa kikao cha Jioni kuchangia Mswada wa Bodi ya Mitihani wakiwa njev ya Ukumbi wa Baraza.  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.