Habari za Punde

Mchanganuo wa Matokeo Kidato cha Sita


Rekodi zilizowekwa katika matokeo ya Mtihani wa Kitaifa wa kidato cha sita 2012 
Sekondari zilizofanya vizuri zaidi katika kundi la shule zenye watahiniwa 30 au zaidi:
  1. Marian (wasichana) - Pwani
  2. Feza (wavulana) - Dar es Salaam
  3. Kisimiri - Arusha
  4. Kibaha - Pwani
  5. Ilboru - Arusha
  6. Mzumbe - Morogoro
  7. Msalato - Dodoma
  8. Tabora (wavulana) - Tabora
  9. St. Mary's Mazinde Juu - Tanga
  10. Consolata Seminari - Iringa 

Sekondari iliyoongoza kwa kufaulu katika kundi la shule zenye watahiniwa chini ya 30: 
  1. Uru Seminari 
  2. Iwawa
  3. Maua Seminari
  4. Harrison Uwata
  5. Beroya
  6. Palloti
  7. Lutengano
  8. Makita
  9. Mwanga
  10. Visitation (wasichana)  

Sekondari zilizofanya vibaya zaidi katika kundi la shule zenye watahiniwa 30 au zaidi:
  1. Pemba Islamic
  2. Zanzibar Commecial
  3. Kongwa
  4. Uweleni
  5. Mazizini
  6. Lumumba
  7. Ben Bela
  8. Mlima Mbeya
  9. Laurate International
  10. Haile Selassie 
Wanafunzi 5 bora katika mchepuo wa Sayansi
  1. Faith Assenga - Marian
  2. Zawadi Mdoe - Feza
  3. Belnadino Mgimba - Minaki
  4. Jamal Juma - Feza
  5. Imaculate Mosha - Marian

Wanafunzi 5 bora katika mchepuo wa Biashara
  1. Alex Isdor - Kibaha
  2. Ephraim Tumwidike - St Joseph's Cathedral
  3. Vaileth Mussa - Weruweru
  4. Seleman Manyiwa - Kibaha
  5. Hussein Issa - Azania

Wanafunzi 5 bora katika mchepuo wa Lugha na Sayansi ya Jamii
  1. Faridi Abdalla - Mpwapwa 
  2. Jema Rwihura - Weruweru
  3. Mariam Hincha - Weruweru 
  4. Mbandwa - Igawilo
  5. Hemed Hussein - Tosamaganga 

Sekondari zilizofanya vibaya zaidi katika kundi la shule zenye watahiniwa chini ya 30:
  1. Mbarali Preparatory
  2. Philter Federal International
  3. High-View International
  4. Kifai Modern
  5. Sha
  6. Dar es Salaam Prime
  7. Kandoto Sayansi
  8. Popatlal
  9. Al-Falaah Muslim
  10. Kiuma 


Source: http://www.wavuti.com/#ixzz1tjQZz6eC

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.