Waandishi wa habari wa Vyombo mbalimbali walioko Zanzibar, wakifuatilia Baraza Jipya la Mawaziri likitwangazwa na Rais wa Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu Dar-es- Salaam jioni hii.wakiwa katika hotele ya Zanzibar Beach Resort Mazizini, walipokuwa wakisubiri brefing ya uzinduzi wa G3 ya Kampuni ya Zante, inayotarajiwa kuzinduliwa kesho katika Hotle hiyo.
Hivi ndivyo ilivyokuwa wakati likitangazwa Baraza Jipya la Mawaziri Ikulu Dar-es- Saalam na Rais wa Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikwete.wakiwa katika Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar.
Waandishi wa habari wa Vyombo mbalimbali walioko Zanzibar, wakifuatilia Baraza Jipya la Mawaziri likitwangazwa na Rais wa Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu Dar-es- Salaam jioni hii.wakiwa katika hotele ya Zanzibar Beach Resort Mazizini, walipokuwa wakisubiri brefing ya uzinduzi wa G3 ya Kampuni ya Zante, inayotarajiwa kuzinduliwa kesho katika Hotle hiyo.
Waandishi wakiwa makini kusikiliza Baraza jipya la Mawaziri likitangazwa Ikulu Dar-es- Salaam.
0 Comments