Habari za Punde

Mo Sharif mtoto wa Mchezaji wa Zamani wa Timu ya Jamuhuri Alikuwa Akiishi Nchini.


Mo Sharif Mtoto mwenye umri wa miaka 19. ni mtoto wa Mshambuliaji wa Zamani wa Jamhuri alikuwa akiishi nchini.

Mo tayari  amesaini mkataba na Klabu ya ligi kuu ya England Queens Park Rangers Mark hughes baada yakufuzu majaribio na timu hiyo.

 Kocha wa QPR anafikiri anaweza kuingia kwenye first eleven na kuweza kuwa Mtanzania wa kwanza kucheza Ligi ya Uingereza mwaka huu kwa jinsi alivyoweza kuonesha uwezo wake wa kulisakata kandanda.

Hazina hii ya wachezaji wa zamani pia tuna Adam nditi mtoto wa mchezaji wa zamani Eric Nditi ambaye yupo katika timu ya vijana ya Chelsea.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.