Habari za Punde

PBZ Wafutarisha Salama Hall Bwawani

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Watu wa Zanzibar Juma Amour, akitowa maelezo ya Mafanikio ya Benki yao kwa kutowa huduma mbalimbali kwa Wananchi wa Zanzibar Pemba na Dar-es-, Salaam, akitowa maelezo hayo baada ya kupata futari ilioandaliwa na Benki hiyo kwa Wteja wake na Viongozi wa Serekali.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akiwasili katika viwanja vya Salama Bwawani Hotel,kuhudhuria katika Futari iliyoandaliwa na Benki ya Watu wa Zanzibar PBZ leo,na kupokelewa na Mwenyekiti wa Bodi ya Benki Mzee Abrahmani Mwinyijumbe,(wapili kulia) na Meneja wa Benki hiyo Juma Amour,(kushoto)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Viongozi wa Dini alipowasili katika viwanja vya Salama Bwawani Hotel,kuhudhuria katika Futari iliyoandaliwa na Benki ya Watu wa Zanzibar PBZ leo,(kulia) Mwenyekiti wa Bodi ya Benki Mzee Abrahmani Mwinyijumbe
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akichukua chakula wakati wa Futari iliyoandaliwa na Benki ya Watu wa Zanzibar PBZ,katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Zanzibar leo,pamoja na wananchi mbali mbali walihudhuria katika hafla hiyo
Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya watu wa Zanzibar Mzee Abrahmani Mwinyijumbe,(kushoto) pamoja na viongozi wengine wakiwa katika futari iliyoandaliwa na Benki hiyo leo katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Zanzib
Viongozi mbali mbali wa Serikali,taasisi binafsi na wananchi wakichukua chakula cha futari iliyoandaliwa na Benki ya Watu wa Zanzibar PBZ katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Zanzibar leo.
Baadhi ya akina mama walioalikwa katika futari iliyoandaliwa na Benki ya Watu wa Zanzibar PBZ katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Zanzibar leo,wakiwa katika harakati za uchuaji wa chakula kwa njia ya kupanga mstari,ikiwa ni utaratibu mzuri wa kujipatia chakula hicho.


Picha na Ramadhan Othman, Ikulu

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.