Habari za Punde

Watoto wakiogolea katika Beach ya Forodhani Zenj


 Watoto wakiwa katika Ufukwe wa Bahari ya Forodhani wakiogolea ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea  sikukuu ya Eid el Fitry kwa michezo mbalimbali katika Visiwa vya Zanzibar, wakiungana na Waislam wengine Duniani kushereherea sikukuu hii.




No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.