Habari za Punde

CCM Mkoa wa Mjini Magharibi wapiga kura kuchagua viongozi

 Wajumbe wa Jimbo la Amani wakiwasikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza na wanachama na wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Mkoa wa Mjini, sambamba na uchaguzi utakaomchagua Mwenyekiti wa CCM Mkoa huo, pamoja na viongozi wengine katika ukumbi wa CCM Mkoa Amani leo
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na viongozi wa Chama cha Mapinduzi CCM alipowasili
katika ukumbi wa CCM Mkoa Amani,kuufungua Mkutano Mkuu wa Mkoa Mjini,ambao utawachagua Viongozi wapya wa Mkoa huo leo
 Katibu wa CCM Mkoa wa Mjini Alhaj Mwangi R.Kundya,alipokuwa akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Dk.Ali
Mohamed Shein,kuzungumza na viongozi wa Chama cha Mapinduzi CCM katika ukumbi wa CCM Mkoa Amani,kuufungua Mkutano Mkuu wa Mkoa Mjini,ambao utawachagua Viongozi wapya wa Mkoa huo leo
 Wajumbe wa Jimbo la Magomeni wakiwasikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza na wanachama na wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Mkoa wa Mjini, sambamba na uchaguzi utakaomchagua Mwenyekiti wa CCM Mkoa huo, pamoja na viongozi wengine katika ukumbi wa CCM Mkoa Amani leo
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza na Wanachama na wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Mkoa wa Mjini, sambamba na uchaguzi utakaomchagua Mwenyekiti wa CCM Mkoa huo,pamoja na Viongozi wengine katika ukumbi wa CCM Mkoa Amani leo,(kushoto) Mjumbe wa Halamashauri kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa Wilaya ya Mjini zamani (Mjini na Amani) Burhani Saadat Haji
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa ,akipiga kura kumchagua Mwenyekiti wa Mkoa Mpya wa Magharibi CCM, sambamba na Mkutano Mkuu wa Mkoa huo, uliofanyika leo ukumbi wa Chuo cha Ufundi
Karume Mbweni.
Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,pia Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk.Amani Abeid Karume,akiteta jambo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Dk.Ali Mohamed Shein,wakati wa Mkutano Mkuu wa Mkoa Mpya wa
Magharibi, sambamba na uchaguzi utakaomchagua Mwenyekiti wa CCM Mkoa huo, katika ukumbi wa Chuo cha Ufundi Karume Mbweni

Picha na Ramadhan Othman, Ikulu

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.