Habari za Punde

Maandalizi ya Marathon Disemba Amaan Zanzibar yapamba moto.

 Wataalamu wa Mchezo wa Riadha Zanzibar wakiwa katika matayarisho ya kupata kipimo sahihi cha Marathon yanayotarajiwa kufanyika katika uwanja wa Amaan na kuelekea sehemu inayokusudiwa na kumalizia Amaan, wakiweka sawa vipimo vya  kilomita zitakazotumika katika mashindano hayo hapa Zanzibar na kuwashirikisha wachezaji wa ndani na nje ya nchi.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.