Wanafunzi wa Skuli ya Jangombe wakiwa katika chumba cha mitihani wakifanya mtihani wao wa Hesabati, ili kumaliza masomo yao ya awali kuweza kufaulu kingia kidatu cha tatu hadi cha nne kama watafauli mitihani hii.
Wanafunzi wa Skuli ya Kidongochekundu wakiwa katika chumba cha mitihani wakifanya mtihani wao wa Historia, ili kumaliza masomo yao ya awali kuweza kufaulu kingia kidatu cha tatu hadi cha nne kama watafauli mitihani hii.
No comments:
Post a Comment