
Beki wa Zanzibar, Nassor Masoud 'Chollo' akiondoka na mpira mbele ya kiungo wa Rwanda, Haruna Niyonzima

Khamis Mcha ‘Vialli’akiruka kushangilia baada ya kufunga bao la kwanza. Kushoto ni Jaku Juma.

Kikosi cha Timu ya Rwanda

Kikosi cha timu ya Zanzibar Heroes

Khamis Mcha akishangilia bao la pili huku akifuatwa na Suleiman Kassim 'Selembe'

Wachezaji wa Timu ya Taifa ya Zanzibar wakishangilia goli la pili kwa staili ya kupiga kasia baada ya kuwatungua wanyarwanda
Picha kwa hisani ya blog ya Binzubeiry
No comments:
Post a Comment