Wakala wa kusambaza magazeti katika Kisiwa cha Zanzibar akikabidhi magazeti kwa wauzaji wadogo wadogo wa bidhaa hiyo baada ya kuwasili katika bandari ya Zanzibar yakitokea Dar-es- Salaam, kwa ajili ya kusambaza kwa Wananchi kupata habari mbalimbali kupitia magazetini, kama nilivyowakuta wakati nikiwa katika rovingi za mitaani leo asubuhi wakiwa katika eneo la Old Dispensary Malindi.
DC NYAMWESE:KITUO CHA KUPOOZA UMEME HANDENI KULETA MAPINDUZI YA UWEKEZAJI
-
*Na Mwandishi Wetu*
*Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Salum Nyamwese, ameridhishwa na kasi ya
utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa kituo cha kupooza umeme (sub...
3 hours ago
0 Comments