WAMWANZO kushoto ni
Kaimu Meneja wa radio Jamii Micheweni
(RJM) Pemba, Ali Massoud Kombo akitoa maelezo mbele ya Kamati ya Mifugo,
Utalii, Uwezeshaji na Habari ya Baraza la Wawakilishi, kuhusu kazi na
changamoto za radio hiyo kulia ni Mwenyekiti wa Kamati hiyo Asha Bakar Makame,
akifuatiwa na Naibu Waziri wa Habari Hindi Hamad Khamis wakati kamati hiyo
ilipotembelea kituo hicho jana
MWENYEKITI wa
Kamati ya Mifugo, Utalii, Uwezeshaji na Habari ya Baraza la Wawakilishi Asha
Bakari Makame akizungumza na wafanyakazi wa Radio Jamii Micheweni Pemba pamoja
na watedaji wakuu wa Wizara ya Habari huko radio Jamii Micheweni mara baada ya
kamati hiyo kutembelea kituo hicho (picha
na Haji Nassor, Pemba )
No comments:
Post a Comment