Habari za Punde

Waziri wa nchi afisi ya Makamu wa Pili wa Rais azungumza na waandishi



 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Mohamed Aboud Mohamed akizungumza na Waandishi wa habari kuhusiana na utekelezaji wa shughuli za maendeleo ya Wizara yake katika Ofisi yake Vuga mjini Zanzibar
 Mwandishi wa Gazeti la Nipashe Mwinyi Sadala akiulizwa katika mkutano wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Mohamed Aboud Mohamed na Waandishi wa Habari kuhusiana na utekelezaji wa shughuli za maendeleo ya Wizara yake huko Ofisini kwake Vuga mjini Zanzibar
 Baadhi ya Waandishi wa habari wakimsikiliza Waziri Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Mohamed Aboud Mohamed (hayupo pichani)alipokuwa akizungumza na Waandishi wa habari kuhusiana na utekelezaji wa shughuli za maendeleo ya Wizara yake katika Ofisi yake Vuga mjini Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.