Habari za Punde

Mchezo wa Final Kombe la Mapinduzi, Timu ya Mafunzo Imeshinda 41-22


 Mchezaji wa Mafunzo nafasi ya C Mwanakhamis Said akijaribu kutowa pasi 
  Kocha wa timu ya Polisi Moro akitowa maelekezo kwa wachezaji wake wakati wa mapumziko ya kota ya tatu,
 Wachezaji wa timu ya Mafunzo wakifuatilia mchezo wa Fainal ya Kombe la Mapinduzi timu yao ikichuana na timu ya Polisi Moro, timu ya Mafunzo imeshinda 41-22.
Viongozi na Wananchi wakifuatilia mchezo wa Fainal ya Kombe la Mapinduzi uliofanyika katika uwanja wa Gymkhana timu ya Mafunzoimetoka kifua mbele baada ya kuichapa timu ya maafande wa Polisi Moro kwa mabao 41-22
 Kizaaza katika goli la timu ya Mafunzo wachezaji wakiwania mpira.
 Mchezaji wa timu ya Mafunzo Teo Bonifes
 Mchezaji wa timu ya Mafunzo Nadra Mohammed, akijaribu kutowa  pasi kwa mchezaji  Kazija Salum.
Wachezaji wa timu ya Polisi Moro, wakiwa katika mapumziko ya mchezo wa Fainal ya Kombe la Mapinduzi , mchezo uliofanyika uwanja wa Gymkhana timu ya Mafunzo imeshinda 41-22.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.