Habari za Punde

Ukarabati Mkubwa wa Skuli ya Hamamni Ukiendelea.

 Jengo la Skuli ya Hamamni likiwa katika ukarabati mkubwa wa jengo hilo, ili kuliimarisha ubora wake ili kutowa huduma kwa wanafunzi wanaosoma skuli hiyo,kwa sasa wanafunzi wake wamehamishiwa skuli mbalimbali kuendelea na masomo yao kupisha ujenzi huo. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.