Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiufungua Mkutano wa tatu wa wadu wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii Tanzania { NSSF } katika Hoteli ya Maount Meru Mjini Arusha
Balozi Seif Ali Iddi akitoa Tuzo kwa baadhi ya Wakuu wa Taasisi zilizofanya Vizui katika Kuwasilisha Michango ya Mafao ya Wafanyakazi wao katika Mifuko ya Hifadhi ya Jamii.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akipokea zawadi maalum kutoka kwa Waziri wa Kazi na Ajira wa SMT Mh.. Gaudensia Kabaka kutokana na juhudi zake za kuwa karibu na mfuko huo.
Waziri wa Kazi na Ajira wa Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanznia Mh. Gaudensia Kabaka akitoa tathmini iliyofikiwa na Tanzania ya vigezo saba kati ya Tisa vya shirik LA Kazi Duniani { ILO } kuhusu mafao ya Jamii kwenye Mkutano wa NSSF Mjini Arusha
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii Tanzania { NSSF } Dr. Ramadhan Dau akizitaja changamoto za mfuko huo katika hafla ya ufunguzi wa mkutano wa tatu wa wadau wa Mfuko huo Mjini Arusha
Baadhi ya wageni na washiriki wa Mkutano wa tatu wa wadau wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii { NSSF } wakijivinjari wakati wimbo maarufu wa kitambaa cheupe ulipoimbwa katika halfa ya ufunguzi wa Mkutano huo Mjini Arusha.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na Mkewe Mama Asha Suleiman Iddi wakiwa pamoja na wenyeji wao wakitoka kwenye Hoteli ya Maount Meru Arusha baada ya kuufunguwa Mkutano wa tatu wa wadau wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii Tanzania { NSSF } .
Picha na Hassan Issa wa - OMPR – ZNZ.
Picha na Hassan Issa wa - OMPR – ZNZ.
No comments:
Post a Comment