Mwakilishi wa jimbo la Bububu CCM Hussein Ibrahim 'Bhaa' akiwa na aliyekuwa mpinzani wake katika uchaguzi kutoka chama cha CUF Issa Khamis walipokutana mitaa ya Mlandege kituo cha mafuta .
Sakata la 'mahasimu' wawili hawa liliwafanya wawakilishi wa CUF kutoka barazani kugomea ushindi wa mwakilishi huyo wakati Mh.Bhaa alipokuwa anaapishwa.
No comments:
Post a Comment