Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni Hamad Yussuf Masauni, akizungumza na Wananchi wa jimbo lake kutowa maelezo yao kuhusiana na maendeleo ya jimbo hilo na miradi iliyoanzishwa ya maendeleo ya jimbo, mkutano huo umefanyika katika viwanja vya Polisi Kisima majongoo
Wananchi wa Jimbo la Kikwajuni wakimsikiliza mbunge wao alipofika katika jimbo hilo kuzungumza na wananchi wake kujuwa matatizo yao na maendeleo ya jimbo hilo katika viwanja vya polisi Kisima majongoo
Mbunge wacJimbo la Kikwajuni Hamad Yussuf Masauni , akimkabidhi seti ya Komputer Katibu wa Kikwajuni SACCOS Moza Jaku kwa ajili ya matumizi na kuweka kumbukumbu ya Saccos yao.
AliMohammed akiulizia utaratibu wa kuyafukia mashimo yalioko katika eneo la jumba namba tano uko vipi.
Ramadhan Khamis akiuliza swali kuhusu utaratibu wa utoaji wa huduma ya maji kwa ajili ya shehei hizo.
Mwananchi wa jimbo la Kikwajuni Yussuf Hassan, akimuliza swali mbunge wake kuhusu askari jamii wanaoilinda katika jimbo hilo katika mkutano na wananchi wa jimbo hilo.
No comments:
Post a Comment