Habari za Punde


 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,akisalimiana na Viongozi baada ya kuwasili katika Ofisi ya Chama cha Mapinduzi Wilaya Mpya ya Mfenesini Mwera,alipofika Ofisi hapo kupata Taarifa ya kazi za Chama,akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha CCM katika Mkoa wa Magharibi Unguja
 



 



 





























No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.