Wadau wa mtaa wa Rahaleo wakiwa katika kijiwe wakiwa na majonzi ya kuondokewa na kipenzi chao Bi Kidude, kwa kumpoteza bibi wa mtaa huo alikuwa rafiki wa kila Kijana na Vijana wote katika mtaa huo ni wajukuu zake na wapenzi wake. wakitafakari baada ya kurudi mazikoni.
CCM BADO TUPO SANA ,TUNAYO AJENDA YA KUDUMU KUWATUMIKIA WATANZANIA-WASIRA
-
Na Said Mwishehe,Michuzi TV-Geita
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Stephen Wasira ameeleza
Chama hicho ni cha kudumu kwasababu kimekabidhiwa ...
4 hours ago
No comments:
Post a Comment