Habari za Punde

Uegeshaji Gari Mbaya Maeneo ya Wazi.

Mdau wangu mwananchi huyu amekosa sehemu mbadala ya kupaki gari lake na kuamua kupaki katika eneo la bustani katika eneo la michenzani?  Kuna baadhi ya Wananchi hutumia sehemu kama hizo kuegesha magari na kuharibu bustani ambazo hutunzwa kwa ajili ya kupendezesha mji na kufanya bustani hizo kutuendelea  kwa uharibifu wa makusudi unaofanywa. katika maeneo hayo. 

1 comment:

  1. hichi kitu ana haki ata kupark jamhuri garden,kwanza iyo bustani yenyewe hamna apo

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.