Habari za Punde

Msongamano wa Magari Husababisha Ajali

Wananchi wakiangalia moja ya ajali katika barabara ya darajani iliosababishwa na msongamano wa magari katika barabara hiyo wakati wa mchana.
 
 Eneo hilo kila mwananchi hutaka kupata huduma mbalimbali ikizingatiwa ni sehemu Kuu ya Mji wa Zanzibar wakati huo huwa na foleni kubwa kwa watumiaji wa barabara hiyo na pia hutumika kwa magari ya abiria maarufu kwa jina la daladala.
 
Inabidi Taasisi husika kulitafutia ufumbuzi suala hili kuweza kupunguza msongamano huo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.