MAKAMO wa kwanza wa Rasi wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, akiondosha kitambaa kuashiria Uwekaji wa Jiwe la Msingi, la ujenzi wa kituo cha Elimu na Malezi cha Kiislamu, huko Ambsha Shengejuu Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba jana
MAKAMO wa kwanza wa Rasi wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, akitoka kukagua moja ya mabanda ya Chuo cha Kiislamu, huko Ambsha Shengejuu Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba jana
Ustaadh Haidari Hamada akisoma Risala Maalumu ya Jumuiya ya Kiislamu Pemba, kwa Makamo wa kwanza wa rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, huko Ambsha Shengejuu Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba jana.
WANANCHI mbali mbali wa shehia ya Shengejuu Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba, wakimsikiliza Makamo wa kwanza wa Rasi wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, mara baada ya uwekaji wa jiwe la msingi la kituo cha Elimu na Malezi cha Kiislamu
MAKAMO wa kwanza wa Rasi wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na wananchi wa Ambasha Shengejuu Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba, mara baada ya kuweka Jiwe la Msingi la kituo cha Elimu na Malezi cha Kiislamu.(Picha na Abdi Suleiman, Pemba.)
TAA YAWAFIKIA WADAU WA UTALII KATIKA MAONESHO YA S!TE
-
Maonesho ya Swahili International Tourism Expo (S!TE) mwaka 2024
yamehitimishwa rasmi jijini Dar es Salaam, yakiteka hisia za wengi kwa
mafanikio makubwa ...
2 hours ago
Maalim anatakiwa pia awashauri viongozi wa Dini, wafikirie namna bora ya ufundishaji wa Qur'an.
ReplyDeleteKwa miaka mingi sasa taaluma ya ufundishaji wa Qur'ani imedharauliwa na hufundishwa kienyeji.
Z'bar ukitaka kufungua Madrassa, hakuna utaratibu wowote unaofatwa uwe una elimu ya Qur'ani au laa.
Walimu wa Madrassa, wanashindwa'kubalance' muda wa watoto wa skuli na ule wa madrassa, matokeo yake w'finzi wengi wanshindwa kukhitimu.
Jamii yetu kimyaaaaa! ukiwauliza wanasema ni matitizo ya MUUNGANO sasa jamani huu si utakua ugonjwa wa akili?
Zaidi ya hayo tuacheni kulawiti watoto jamani. Aidha vyuo kama hivi pia vifundishe maadili ya uislamu. Wazanzibari tumekuwa wezi jamani. Wizi mwingi, uaminifu umekwenda alijojo siku hizi. Haya nayo si matatizo ya muungano.
ReplyDeleteAnonymous 2....Alijojo ndio Nini kaka/ dada?
ReplyDeleteWizi unatokana na kua na hali mbaya za maisha Vibaka wangi hutoka Bara na wale Wazanzibari wenyewe hupata Vipigo vizuri sana na kutengwa na jamii. Hii sio Suluhisho . Bali suluhisho nikupatiwa kazi. Pemba kunadharauliwa na wenyewe Wapemba kila mtu anakimbilia MRIMA kufungua Bishara (Ati) Atapata utajiri wa haraka kwasababu kuna Wanunuzi wengi. Wanasahau wao ndio waliochangia hali hii mbaya ya aisha.
@Anonymous 1.
Nakupongeza kwa maoni yako ningetamani maalim angesoma maoni hayas kama hajayasoma mimi nitayafikisha Pemba.