Habari za Punde

Wanafunzi wa Wanaojiunga na Vyuo Vikuu wakiwa katika Foleni ya Kujaza Fumo za Mikopo

Wanafunzi wa wanaojiandaa na kujiunga na Vyuo Vikuu kwa mwaka wa masomo 2013, wakiwa nje ya jengo la Ofisi za Bodi ya Elimu ya Juu Zanzibar zilioko katikta jengo lililokuwa sinema ya Majestiki Vuga Zanzibar wakiwa katika harakati za kuomba udhamini kupitia Bodi hiyo, kama wanavyoonekana pichani wakisubiri kupeleka fumo zao.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.