Msimu wa Utalii ukiwa ukipamba moto katika mitaa ya Mji wa Zanzibar kwa watalii wa Mataifa mbalimbali wakitembelea Visiwa vya Zanzibar na Vitongoji vyake kutembelea sehemu za Historia ya Zanzibar na Vivutio vyengine vya Kitalii katika Kisiwa cha Zenj. Kama wanavyoonekana Watalii hawa wakiwa katika mitaa ya Mji Mkongwe wakiwa katika shughuli za Kitalii.
Maisha : REA Yasambaza Mitungi na Majiko ya Gesi kwa Watumishi wa Gereza la
Ukonga, Dar es Salaam.
-
-REA kuendela kuwajengea uwezo Magereza uendelezaji Miradi ya Nishati Safi
-Mhe. Balozi Radhia Msuya amewahamasisha Maafisa na Watumishi wa Magereza
kuw...
12 minutes ago
Hili ni jambojema znz, lakini pia nijambo la kusikitisha mapato yanayo tokana na utalii hayaineemeshi znz kwakuwa ina viongozi walafi au wazembe,tukija kwenye kodi wawekezaji wakigeni wanashirikanna na wanyeji kukwepa kodi kamishin ya utlii kimmwya wao kubwa kupipata katika vijumba vya kulala wa geni vinomilikiwa na wazalendo kuwakamua.Tunomba wajirekebishe utalii uwanufaishe waznzibari wote
ReplyDelete