Habari za Punde

Waziri Mwinyihaji akutana na Wazanzibari wanaoishi nje ya nchi


Waziri wa Nchi  Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Mwinyihaji Makame Mwadini,akizungumza na Wazanzibari wanaoishi nje ya Nchi, walipokutana  leo katika ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mnazi Mmoja  Mjini Zanzibar.
 
[Picha na Mpiga Picha Wetu.]

1 comment:

  1. Haya kuna lipi kubwa lililozungumzwa hapo?

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.