Mwakilishi wa Jimbo la Fuoni Thuwaiba Kisasa azindua Jengo jipya la UVCCM Darajani.

Mwakilishi wa Jimbo la Fuoni Thuwaiba Kisasi akikata utepe kuashiria uzinduzi wa jengo jipya la Umoja wa Vijana Darajani, baada ya ujenzi huo kukamilika nusu ya ujenzi wake baada ya kuondowa Makontena na kujenga jengo la gorofa likiwa na maduka kwa ajili ya wafanyabiashara wa eneo hilo.
Mwakilishi wa Jimbo la Fuoni Thuwaiba Kisasi akiondoa kitambaa kuashiria uzinduzi huo. wa jengo jipya la Umoja wa Vijana Darajani, baada ya ujenzi huo kukamilika nusu ya ujenzi wake baada ya kuondowa Makontena na kujenga jengo la gorofa likiwa na maduka kwa ajili ya wafanyabiashara wa eneo hilo.
Naibu Katibu Mkuu wa UVCCM Zanzibar Shaka Hamdu, akimtembeza Mwakilishi wa Jimbo la Fuoni na Naibu Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Thuwaiba Kisasa baada ya juzindua jengo hilo jipya la maduka darajani.  





Post a Comment

Previous Post Next Post