Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(kulia) akisikiliza taarifa ya utekezaji wa kazi za Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo, iliyosomwa na Waziri Said Ali Mbarouk,(kushoto) katika mpangilio wake wa kuzungumza na kila Wizara katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar,(katikati) Katibu Mkuu Kiongozi Dk.Abdulhamid Yahaya Mzee
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Habari, Utalii,Utamaduni na Michezo, katika utekelezaji wa Mpango wa kazi za Wizara hiyo,katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar
Baadhi ya Viongozi mbali mbali wa Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo,wakiwa,katika mkutano wa utekelezaji wa Mpango wa kazi za Wizara hiyo,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]