Huduma ya PBZ kwa Wateja Wake.


PBZ inatoa aina mbalimbali za Dhamana (Guarantees)kwa wateja wake ili kufanikisha shughuli zao za biashara.Dhamana za biashara zinazotolewa na Benki ni.

. Dhamana kwa ajili ya maombi ya zabuni Bid bond

.Dhamana ya utekelezaji wa zabuni Performance bond.

.Dhamana za uwingizaji bidhaa bandarini Custom bond.

.Dhamana ya kupatiwa fedha kwa ajili ya kufanya kazi baada ya kupata zabuni Advance payment bond.

DHAMA NA ZOTE ZINAZOTOLEWA NA PBZ ZINAPATIKANA KWA GHARAMA NAFUU.  

Kwa habari zaidi Bofya hapa  www.pbzltd.com

Click here.  www.pbzltd.com

Post a Comment

Previous Post Next Post