Habari za Punde

Mv Mapinduzi Ilipokuwa katika Bandari ya Forodhani.

Marehemu Mv Mapinduzi ilipokuwa katika bandari ya Zanzibar kabla ya kuuzwa na kupotea kabisa katika macho ya Wazanzibar kwa kupata ajali ya kuzama mali hiyo wakati ikiwa katika safari yake, kwa kufanyiwa matengenezo na Mnunuzi aliyebarikiwa katika ununuzi wake.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.